Kuna mchungaji mmoja alikuwa akisafiri kwa gari kutoa kijiji A kwenda kijiji B kwa ajili ya ibada ya jumapili. Akiwa njiani mzee mmoja akamsimamisha na kuomba lifti, mchungaji akasimama na kumbeba yule mzee na kisha safari ikaendelea. Mita chache mbele yule mzee akamuuliza mchungaji, « unajua jana kuna kitu ganikimetokea huko Mbinguni? »
Mchungaji kwa mshtuko na hasira akapaki gari pembezoni mwa barabara na kisha kumwambia, »mzee unaota ndoto hapa au unalala? utajuaje habari za mambo yanayoendelea mbinguni?
Mzee akasema jana Mungu alichukia sana jinsi mwanadamu anavyozidi kutenda maovu na hata kuto mthamini mwanadamu mwenzake. Hivyo akawaagiza malaika wachukue matarumbeta na
kupiga kuashiria mwisho wa dunia. Wakiwa wamechukua matarumbeta wanajiandaa kupiga ndipo Yesu akamjia Mungu na kupiga magoti huku akilia na kumsihi Mungu awasamehe wanadamu kwani yeye alitokwa na jasho na damu kwa uchungu kwa ajili ya wanadamu kusamehewa.
Yesu akazidi kumwambia Mungu, bila ile damu kumwagika gadhabu ya Mungu ingekuwa kubwa kwa wanadamu kwani kuna mambo mengi ya ajabu yanaendelea kutendea na yalikuwa yakitendeka, hivyo Yesu akamwomba Mungu
« ATOE NAFASI YA MWISHO KWA WANADAMU
KUSAHIHISHA MIENENDO YAO.
Ndipo Yesu akawageukia malaika na kuwaambia washuke duniani kwa uwingi wao na kuwaambia wanadamu kuwa « SIKU ZA MWISHO ZIMEKARIBIA, YESU ANAKARIBIA KURUDI » Yule mchungaji akiwa anatokwa na jasho huku analia akamuuliza yule mzee, Mzee umeyajuaje haya yote?? Mzee akajibu, » mimi ni mmoja wa hao malaika waliotumwa, Tafadhali tumia kila njia ya
mawasiliano kuwaambia watu kuwa muda umeisha hakuna wakati wa kuupoteza tena wabadilike » Baada ya kuongea hayo yule mzee akatoweka.
Hadithi hii ni ya ukweli kuwa dunia sasa
imekaribia mwisho hasa kutokana na mambo ya
ajabu tunayoendelea kuyashuhudia kila kukicha.
Tafadhali rafiki share post hii ili kila rafiki yako
nae abadilike na tuzidi kubadilika huku tukiishi
kwa kupendana.
Mimi nimefanya upande wangu kwa kuandika hili
nawe sasa OKOA rafiki kwa kumpa habari hii
Amen