Ombea kanisa la lndia ambapo usiku yalichomwa makanisa 20

😔 TAARIFA ZA KUSIKITISHA. Tafadhali omba kwa ajili ya hitaji hili la haraka. « Ombea kanisa la lndia ambapo usiku yalichomwa makanisa 20. Leo usiku wanataka kuharibu zaidi ya makanisa 200 kwenye mkoa wa Olisabang. Wanataka kuua wamisionari 200 ndani ya masaa 24. Wakristo wamejificha vjijini …. Waombee na tuma ujumbe huu kwa wakristo wote unaowafahamu. Muombe Mungu awarehemu kaka NA dada zetu waliopo India. « Unapopokea ujumbe huu, tafadhali utume haraka kwa watu wengine. Tafadhali ombea familia za wamisionari 22 zilizohukumiwa kuuwawa na Waislamu nchini Afghanistan. Tafadhali sambaza ujumbe huu haraka iwezekanavyo ili wengi waweze kuomba!!!