Kuna siku.

➡Kuna siku marafiki tutatengana💔 hatutaonana tena wala kuwasiliana.💌➡Wengine umri utakuwa umeenda🕢 sana wamekuwa wazee na wengine hawatakuwepo duniani.😢😰

➡Tutakumbuka🙇 tulivyokuwa tunachat💌 tutakumbuka tulivyokuwa tunapendana ❤na kushirikiana👯 tutakumbuka tulivyokuwa vijana wenye nguvu💪 tukikimbizana💃 huku na kule lkn hatutaweza kuwa pmj tena.💔

➡Labda bado tutakuwa na picha 👤za marafik zetu tutaziangalia na kukumbuka mengi.🙇💬

➡Watoto na wajukuu zetu watatuuliza 

« Ni kina nani hawa👉👭? » 

➡Kwa maskitiko tutawaambia « Ni wapendwa wetu tulioshirikiana na kupendana nao » ❤❤❤💋

➡Huzuni zitatufunika maana hakutakuwa na njia ya kuonana tena zaidi ya kukumbuka enzi zetu!💏

➡Huu ni wakati wa kufurahi na marafiki 👫 💃🏃 💑 👭 na kutendeana mema ili tusije kujuta baadae.🙇

➡Huu ni wakati wa kupendana na kila aliye karibu na wewe.❤❤

➡Onyesha upendo ❤ na moyo❤ wa furaha kwa kila unaechat nae kwa sasa.💞💋

➡Tunza kumbukumbu za yale mazuri unayotendewa na marafiki zako🙆

➡Tunza picha zake kwa bidii👥👤

➡Kama unakubaliana na mimi wakumbushe marafiki zako wote kuwa upendo ❤ni kitu cha thamani sana!!❤❤❤❤ 

➡Mkumbushe kila unayechati naye kuwa hataendelea kuchat na wewe milele hivyo autumie huu wakati 🌄 vizur. 💋

➡Kama na mimi ni mmojawapo nikumbushe kukuthamini na kukutendea mema 💗💋🌸❤💐💕💞💓🌹🌷💐🌺