Numuw Bibiliya 

Nunua Biblia hata zaidi ya 1 mpendwa, kwani kuna hatari kubwa mbeleni, Biblia inakwenda kupotea kabisa! kutokana na mpango wa Fremason wa kuleta simu za kisasa zenye Biblia ndani na kuwafanya watu wasibebe Biblia, hata kuzinua Mitambo ya kuchapisha Biblia itafungwa kwa kuona Biblia hazina soko, tena, Baada ya hapo sasa Fremason watazilock Biblia za kwenye simu zisifanye kazi tena! Kumbuka tupo mwisho wa wakati.! Piga panda ewe mlinzi, Yesu yuaja tena. ELEWA KUUTAMBUA WAKATI NA MBINU ZA MPINGA KRISTO. Tafakari…TANGAZA HAYA KWA KUWATUMIA WAKRISTO WOTE UWAJUAO HAPA DUNIANI. Timiza Nawe Hutadaiwa. Amen.